VidRise makes YouTube stand out on social feeds!

About Video - Viongozi Wa Juu Wa Chadema, Wakiongelea Watu Wasiojulikana pamoja na Ukweli Kuhusu Hali Mbaya Ya Tun Viongozi wa ngazi za juu kutoka chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, leo asubuhi 12/09/2017 wamefanya mkutano na waandishi wa habari na kuzungumzia masuala muhimu yanayoendelea ikiwamo, hali ya mbunge wa singida mashariki na mwenyekiti wa chama cha wanasheria Tundu Lissu, ambaye alipigwa risasi zaidi ya 5 wakati akiwa kwenye gari karibu na nyumbani kwake. Pia viongozi hao wa juu CHADEMA wamezungumzia na masuala mengine kama ukandamizwaji wa demokrasia hapa nchini, huku wakitaka serikali iruhusu wapelelezi kutoka nchi za nje kuja hapa kupeleleza tukio zima la upigwaji risasi kwa Mh. Tundu Lissu.