VidRise makes YouTube stand out on social feeds!

About Video - #Yanga: List Ya Wachezaji Watakaotemwa na watakaobaki Msimu Huu | Mambo Yameumana Huko Jangwani tetesi za Michezo Mpya kuhusu yanga, inasemekana kuwa Yanga Kuna Wachezaji Kama 17 ivi huenda wakaonfoka Msimu huu, akiwemo T-shishimbi, David molinga, Bernard morrison na wengineo Wengi, hii Ni kwasababu Wachezaji hao hawana mapenzi ya dhati na Yanga ikisemekana kuwa wamehusishwa Sana kujiunga na clubs mbalimbali, hivyo Basi yanga wameamua kuweka mkakati wao makini kuwasajili Mastraika wapya Kama vile Mukoko Tonombe, tuisila Kisinda, bakari nondo mwamnyeto na wengineo Wengi ambao Yanga inataraji kuwasajili Wachezaji hao. habari ya leo tumekuletea list ya Wachezaji Watakaotemwa Yanga pia na Wachezaji watakaobaki Yanga Msimu Huu, Yanga yaitaji kuunda kikosi Cha kudumu ambacho kitaifanya Yanga iweze kuwa imara zaidi. fatilia Video hii Mpaka mwisho pia usisahau KUSUBSCRIBE, LIKE , KUCOMMENT CHOCHOTE #heddonmedia #SUBSCRIBE kwa Habari mbalimbali za kimichezo #yanga #wachezajiwatakaotemwayangamsimuhuu #yangawachezajiwapya #wachezaji #yangampya #yangaimarawakimataifa #usajilimpyayanga #yangausajilimpya #habarizayanga #habarimpyazamichezoleoa #yangawakimataifa #yangayazidikuwamoto Keywords: yanga